GM STAR CREATIONS 📌Tunadesign Logo kwa matumizi ya (kampuni, shule, kanisa nk.) 📌Tuna tengeneza blog Na kuweka Templates nzuri (Muonekano mzuri) 📌Tunatengeneza Cover za nyimbo aina zote 📌Tunafanya editing za picha aina zot…
GM STAR CREATIONS -Tunadesign Logo kwa matumizi ya (kampuni, shule, kanisa nk.) -Tuna tengeneza blog Na kuweka Templates nzuri (Muonekano mzuri) -Tunatengeneza Cover za nyimbo aina zote -Tunafanya editing za picha aina zote NJ…
MAANA YA VIWAWA NA HISTORIA YA VIWAWA . MAANA YA VIWAWA. Viwawa maana ya Viwawa ni Vijana Wakristo Wakatoliki(Wengine wanasema ni Vijana Wakatoliki Wafanyakazi) Viwawa ni chama cha kitume cha Vijana ndani ya Kanisa ambao wanatu…
Gospounity Media(GM) Wanapenda kuwataarifu waktistu wote , mahususi madhehebu ya Rc (roman catholic) kuwa sasa unaweza kudownload nyimbo zote kupitia website hii. Pia unaweza kutuma Nyimbo yako Tuiweke Katika website yetu ili …
Nyimbo nzuri kutoka kwa vijana wawili wenye moyo wa Kufanya kazi ya mungu Sikiliza nyimbo hii kupata ujumbe mzuri utakao kupa faraja ya siku yako. Listen to Naisekela by GOSPOUNITY MEDIA on hearthis.at
SOMO LA KWANZA (Yer 17:5-10) Bwana asema hivi: Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake, na moyoni mwake amemwacha Bwana. Maana atakuwa kama fukara nyikani, hataona yatakapotokea mema;…
Somo la kwanza (Mwa 12:1-4a) Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha; nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza j…
Somo la kwanza (Dan9:4-10) Ee Bwana, Mungu mkuu, mwenye kutisha, ashikaye maagano na rehema kwao wampendao, na kuzishika amri zake; tumefanya dhambi, tumefanya ukaidi, tumetenda maovu, tumeasi, naam, hata kwa kuyaacha m…
SOMO LA KWANZA (Yer 17:5-10) Bwana asema hivi: Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake, na moyoni mwake amemwacha Bwana. Maana atakuwa kama fukara nyikani, hataona yatakap…
Somo la Kwanza | Bwana amenotoa katika miko no ya Herode ( Mdo 12:1-11) Panapo majira yale yale Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa. 2 Akamwua Yakobo, ndugu yake Yohana, kwa u…
GOSPOUNITY MEDIA TANZANIA wapo kwa ajili ya kusambaza nyimbo za injili kuwafikia watu wengi kwa urahisi Kuwa mtu wa Kwanza kutuma nyimbo yako Sasa ili ifike mbali KATIKA kusambaza neema na baraka za mwenyezi mungu kwa w…
SIKILIZA NYIMBO NZURI YA INJILI KUTOKA KWAKE QUEEN LOYCE Listen to Nyota Yang'ara | gospounity Media by GOSPOUNITY MEDIA on hearthis.at DOWNLOAD NYIMBO HII HAPA
Karibu tuimbe pamoja kupitia WhatsApp Tukishirikiane Kwa umoja na upendo Tuma audio au video yako katika namba hizi 0622571985 JIUNGE NASI KWA MAGROUP YA WHATSAPP LINK INGIA KWENYE GROUP Lis…
Social Plugin